Simba Queens yampa mkono wa kwaheri Mwanahamisi Omary.
Joyce Shedrack
July 15, 2025
Share :
Klabu ya Simba Queens imetangaza kuachana na mshambuliaji wake Mwanahamisi Omary maarufu Gaucho.
Mwanahamisi anakuwa mchezaji wa 12 ambaye hatakuwa sehemu ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi msimu ujao baada ya siku ya jana wachezaji wengine 11 kupewa mkono wa kwaheri.