Simba walivomnyanyasa Tembo Chamazi
Sisti Herman
February 1, 2024
Share :
Simba imefuzi hatua ya 3 ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Tembo Fc ya ligi ya madaraja ya chini kutoka mkoani Tabora kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba amefunga wa Luis Miquissone dakika ya 11, Saidi Ntibazonkiza 31', Saleh Karabaka 81' na Omar 83.