pmbet

Simba wamnasa kinda wa Geita Gold

Sisti Herman

July 5, 2024
Share :

Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya mshambuliaji chipukizi, Valentino Mashaka mwenye umri wa miaka 18 kutoka klabu ya Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili.

 



Mashaka ambaye pia amewahi kupita kwenye timu za vijana za klabu ya Azam na Ifakara Soccernet ameonesha kipaji na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza akihusika kwenye magoli 7 msimu uliopita akiwa na Geita Gold Fc;

- Mechi - 24
- Goli - 6
- Asisti - 1

Kabla ya Geita Gold Valentino amecheza pia Ruvu Shooting.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet