Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili beki wa kati Chamou Karaboue raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 24 kutoka klabu ya Racing Club Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.