Simba wapiga msumari wa moto Awesu Awesu ni mnyama.
Joyce Shedrack
July 17, 2024
Share :
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Awesu Ally Awesu kutoka klabu ya KMC kwa mkataba wa miaka miwili .
Kiungo huyo mzawa mwenye umri wa miaka 28 anatarajia kuongeza nguvu kwenye timu hiyo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea simu ujao.