pmbet

Simba wawaita mashabiki wakiwavaa Ihefu

Sisti Herman

April 12, 2024
Share :

Kocha msaidizi wa Simba Suleiman Matola na msaidizi wake Mohammed Hussein Zimbwe kwa pamoja wamewamba mashabiki wa klabu hiyo kuhudhuria kwa wingi mchezo wa kesho dhidi ya Ihefu (Singida Black Stars) kwenye ligi kuu Tanzania bara ili kuendelea kuwa na mwendelezo bora.

"Kwanza niwape pole (mashabiki) hakuna mtu asiyejua kuwa kila Mwanasimba ameumia kwa matokeo mabaya Lakini Cha msingi tunawaambia kwamba waje kutusapoti, tunawaahidi hatutawaangusha" alisema Matola 

"Maandilizi yapo vizuri tunaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi, tunafahamu matokeo tuliyoyapata nyuma lakini kesho tunaenda kwenye mchezo mpya tunahitaji mwendelezo mzuri ili kupunguza idadi tuliyozidiwa na tuendelee kuwa kwenye mbio za Ubingwa" alisema Zimbwe 

Simba itashuka Simba la Liti mjini Singida kuvaana na Ihefu kwenye mchezo wa raundi ya 22. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet