pmbet

Simba ya pili kwa wafuasi wengi Instagram, yaiacha mbali Yanga

Sisti Herman

May 12, 2024
Share :

Baada ya jana kufikisha idadi ya wafuasi Milioni 6 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, klabu ya Simba inashika nafasi ya pili kwa klabu za soka zinazofuatiliwa zaidi kwenye mtandao huo baada ya klabu ya Al Ahly ya Misri.

Hii ni orodha ya vilabu vitano vyenye wafuasi wengi kwenye mtandao huo;

1. Al Ahly, Misri - 10.9 M
2. Simba Sc, Tanzania - 6 M
3. Raja AC, Morocco - 3.2 M
4. Yanga Sc, Tanzania - 3.1 M
5. Zamalek, Misri - 2.1 M

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet