Simba yachezea kichapo cha pili Afrika Kusini.
Joyce Shedrack
October 3, 2026
Share :
Klabu ya @simbasctanzania imepoteza mchezo wa pili wa kirafiki wakiwa Afrika Kusini baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Sekhukhune United.

Mnyama amekamilisha kambi yake ya siku 10 na sasa anajiandaa kurejea Tanzania kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo unaofuata dhidi ya Yanga oktoba 10.





