pmbet

Simba yaendeleza 'Uteja' yatandikwa 2-1 na Yanga

Eric Buyanza

April 20, 2024
Share :

Klabu ya Simba jioni ya leo imekubali kuendeleza uteja dhidi ya watani wao Yanga baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. 

Goli la kwanza la Yanga lilipatikana dakika ya 28 ya kipindi cha kwanza kwa mkwaju wa Penati uliotumbukizwa kambani na Aziz Ki, huku goli pili likifungwa na Joseph Guede kwenye dakika ya 38 ya kipindi cha kwanza. 

Kipindi cha pili kilianza kwa Simba kuonyesha uhai na dakika ya 74 ya mchezo Freddy Koublan aliipatia Simba goli la kwanza la kusawazisha.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet