pmbet

Simba yaitikisa Asante Kotoko, yambeba Fowadi wa Uganda

Sisti Herman

June 19, 2024
Share :

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na nyota wa Asante Kotoko ya Ghana Steven Mukwala raia wa Uganda Kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Msimbazi.

Inaelezwa kuwa Simba SC wameweka mezani mkataba wa miaka miwili Kwa dau la USD 130,000 sawa na zaidi ya Tsh million 339 huku mshahara ukiwa ni USD 9000 sawa na Tsh million 20 Kwa mwezi. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet