Simba yajichimbia Zenji kuwawinda Yanga
Sisti Herman
April 16, 2024
Share :
Klabu ya Simba imeanza safari ya kuelekea visiwani Zanzibar kwaajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa dabi ya kariakoo dhidi ya Yanga itakayochezwa siku ya Jumamosi ya Aprili 20 kwenye dimba la Benjamin Mkapa.