Simba yajitosa kwa mshambuliaji wa Ghana
Sisti Herman
April 17, 2024
Share :
Klabu ya Simba ipo kwenye hatua nzuri ya kuinasa saini ya nyota wa klabu ya Medeama kutoka nchini Ghana , Derick Fordjour ambaye alifuatiliwa na viongozi wa Simba tangia dirisha dogo .
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari nchini Ghana zinasema kunao uwezekano mkubwa mchezaji huyo akatua Msimbazi .