pmbet

Simba yamalizana na KMC kwa awesu

Sisti Herman

July 16, 2024
Share :

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari zimeeleza kuwa klabu ya Simba imekamilisha utaratibu wa kumnunua nahodha na mchezaji wa klabu ya KMC Awesu Awesu kwaajili ya kuwa mchezaji wao rasmi kwaajili ya msimu ujao.

Awali mchezaji alifikia makubaliano binafsi ya kujiunga na Simba na ikabaki jukumu la Simba kuwasiliana na KMC kwaajili ya kukamilisha utaratibu wa manunuzi ambapo waliolazimika kulipa kiasi cha pesa za uvunja mkataba wa Awesu na KMC.

Kama mambo yataenda sawa Awesu atakuwa mchezaji rasmi wa Simba wakati wowote kuanzia sasa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet