pmbet

Simba yamshusha mrithi wa Chama ambaye ni 'MVP' wa Ivory Coast

Sisti Herman

July 3, 2024
Share :

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Stella Club d'Adjme, Ahoua Jean Charles kwa mkataba wa miaka miwili.

Ahoua mwenye umri wa miaka 22 anajiunga na Simba akitoka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu nchini Ivory Coast (MVP) huku akifunga mabap 12 na kusaidia kupika mengine 9.

Simba baada ya kuachana na nyota wake muhimu kama Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama inajitahidi kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na umri mdogo ili kuziba nafasi za nyota wao muhimu walioondoka.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet