pmbet

Simba yanasa saini ya Chasambi

Eric Buyanza

December 4, 2023
Share :

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwenye mashamba ya miwa turiani mkoani Morogoro yalipo makao makuu ya klabu ya Mtibwa Sugar zimethibitisha kuwa klabu ya Simba ya Dar es Salaam ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa winga wa Mtibwa Sugar na timu ya Taifa Tanzania, Ladack Chasambi.
 

Winga huyo mwenye umri wa miaka 19 ambaye pia anawaniwa na Yanga, watani wa Simba msimu huu licha ya Mtibwa kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi 8, kutoa sare 2 na ushindi mara moja kati ya mechi 11 walizocheza msimu huu, yeye ameanza msimu vyema akiwa na asisti 3 na goli 1, kiwango ambacho kimeemuwezesha kujumuisha timu ya Taifa na kocha Adel Amrouche.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet