Simba, Yanga kwenye rekodi za kustaajabisha za CAF
Sisti Herman
March 4, 2024
Share :
Simba na Yanga zimejitokeza kwenye orodha ya timu zilizofunga na kufungwa mabao mengi kwenye mchezo mmoja ya michuano ya ligi ya mabigwa Afrika.
Hii ni 6 bora ya timu zilizofunga mabao mengi kwenye mchezo mmoja;
1. TP Mazembe 8-0 Club Africain (2019)
2. Simba Sc 7-0 Horoya AC (2023)
3. Asec Mimosas 7-0 CR Belouizdad (2001)
4. Raja AC 6-0 Yanga Sc (1998)
5. Simba Sc 6-0 Jwaneng' Galaxy (2024)
6. Enyimba Fc 6-0 Big Bullets (2004)
Timu yako ipo nafasi ya ngapi?