pmbet

Simba,Yanga,Azam na Singida zapongezwa.

Joyce Shedrack

February 16, 2026
Share :

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amezipongeza Klabu za Tanzania zilizokuwa zikishiriki michuano ya CAF ngazi ya klabu licha ya timu zote 4 zilizokuwa zikiwakilisha Tanzania kuishia hatua ya Makundi.

Ni Kwa mara ya kwanza Tanzania ilifanikiwa kuingiza timu 4 katika hatua ya makundi katika michuano ya Shirikisho timu 2 na Klabu bingwa timu 2 na timu zote zimeishia katika hatua hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet