pmbet

Simon Msuva alamba dili nono Bongo.

Joyce Shedrack

May 28, 2025
Share :

Mchezaji wa Taifa Stars @smsuva27 amechaguliwa kuongoza jopo la kusaka vipaji kupitia Mashindano ya Safari Lager Cup ambayo lengo lake kubwa ni kusaka na kukuza vipaji kupitia nchi nzima ya Tanzania.

Hii inakuwa ni moja ya faida ya wachezaji kusimamiwa na mameneja wazuri wanaoweza kuwasimamia ndani na nje ya Uwanja kibiashara huku yeye akiambatana na Meneja wake @petersimon11 ambaye ndiye msimamizi na Meneja wake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet