pmbet

Simu ya Luka Modrić ilivyozua gumzo mitandaoni

Eric Buyanza

May 27, 2026
Share :

Katika tamasha la "The Best" lililoandaliwa na FIFA Septemba 24, 2018, Luka Modrić alionekana akitumia iPhone 5s, simu ya toleo la mwaka 2013.
 

Picha hii iliwashangaza wengi na kuzua kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu kwa wakati huo alikuwa akipata zaidi ya dola milioni 16 kwa mwaka kutokana na mkataba wake wa Real Madrid, na wala hakuona haja ya kumiliki simu ya kisasa ambayo ingemgharimu mapesa mengi bila sababu ya msingi.

 

Umejifunza nini hapa?
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet