pmbet

Singida BS bado wanadai fedha za Ubingwa wao CECAFA

Sisti Herman

September 27, 2026
Share :

 

Uongozi wa timu ya Singida BS bado umeendelea kusotea zawadi yake ya kuwa Bingwa wa Mashindano ya CECAFA 2025.

Kupitia kwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa timu hiyo Hussein Massanza ameandika deni lao kwa sasa limefikisha mwaka mmoja na siku 11.

“ Deni letu la fedha za Ubingwa wa CECAFA 2025 limetimiza mwaka mmoja na siku 11” ameandika Massanza katika ukurasa wake rasmi wa Instagram.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet