Singida BS waonesha jezi yao watakayoivaa dhidi ya Simba
Eric Buyanza
August 21, 2026
Share :
Kikosi cha timu ya Singida BS kimeonesha jezi zao watakazotumia katika msimu huu wa 2026/07 kwenye mashindano mbalimbali watakayoshiriki.
Singida BS kesho watazitumia jezi hizo katika mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi Simba na mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Airtel Stadium, Mkoani Singida.
Timu hiyo inayodhaminiwa na Kampuni ya Ubashiri ya PMBET Tanzania ina alama nne ilizozipata katika mechi mbili walizocheza mpaka sasa.






