pmbet

Singida BS yaangukia Sudan Azam kudondokea kwa Wamisri CAFCC.

Joyce Shedrack

August 6, 2026
Share :

Mabingwa watetezi wa Kombe la CECAFA Kagame Cup, timu ya Singida BS imepangwa kucheza na timu ya Al - Ghazzala SC Wau kutoka nchini Sudan Kusini.
Azam FC na matumaini ya kubadilisha historia ya klabu Kimataifa. - PMTV
Kikosi cha Singida BS kitaanzia hatua ya awali kucheza na timu hiyo kwenye Mashindano ya Shirikisho Afrika, huku wenzao wa Azam FC wakisubiri mshindi wa mechi ya Zed FC ya Misri au Asas Djibouti ya nchini Djibouti.

Azam FC ambao ni matajiri wa Jiji la Dar es Salaam huenda wakakutana kutokana na ZED FC kupewa nafasi kubwa ya kuwatoa Asas Djibouti.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet