pmbet

Singida BS Yajifua kwa mara ya kwanza wakiwa Kigali,Rwanda.

Joyce Shedrack

September 18, 2025
Share :

Klabu ya Singida Black Stars imeanza mazoezi kwenye ardhi ya ugenini Kigali Rwanda mara tu baada ya kuwasili Nchini humo kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Rayon Sports.

Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu wamefanya mazoezi ya kwanza Nchini humo asubuhi ya leo katika dimba la Pele litakalotumika kwenye mchezo wao Jumamosi septemba 20,2025.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet