pmbet

Singida BS yambagaza mtu chuma 7-1 ugenini Sudan.

Joyce Shedrack

September 6, 2026
Share :

Klabu ya @singidablackstars imeibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya AL Ghazala ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika.

 

Mshambuliaji Mathew Tegisi ametupia nyavuni mabao 3 huku Jonathana Sowah akifunga mabao 2 , Shekhan Khamis bao 1 na David Henry bao 1.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet