Singida wahamishia makazi Chuga!
Eric Buyanza
December 6, 2023
Share :
Baada ya uwanja wao wa nyumbani wa Liti kufungiwa na Bodi ya ligi kuu Tanzania kwa kukosa sifa na vigezo vya kuweza kuandaa michezo ya Ligi kuu ya NBC, Uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate umethibitisha kuhamia uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu, Arusha.
Ikiwa Arusha, Big Stars wanategemea kucheza mechi 2, moja ya ligi dhidi ya KMC Fc na nyingine ya ASFC dhdi ya Arusha City