Sio mchezaji mstaafu, bado ana mkataba na Dortmund mpaka 2026
Eric Buyanza
June 12, 2024
Share :
Beki wa Borussia Dortmund, Niklas Sule amekuwa akiwashangaza mashabiki wa soka kwa umbile lake.
Kwa muonekano ukimuangalia Sule kwa haraka unaweza ukafikiri ni mchezaji aliyestaafu lakini ana mkataba na Borussia Dortmund hadi mwaka 2026.
Beki huyo ameichezea Dortmund mara 31 msimu huu.