Siongei na simu baada ya saa 4 usiku, sipendi kuongea usiku - Ronaldo
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Mchezaji wa Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi ratiba yake ya usiku:
“Jambo moja muhimu, siongei na simu baada ya saa 4 usiku. Siongei na simu muda huo. Sipendi kuongea usiku kwa sababu ya ubongo wangu. Kwa hivyo, baada ya saa 4, usinipigie simu.” anasema Ronaldo.