pmbet

Sipendi kufananishwa na mtu kwa kitu chochote - Wema Sepetu

Eric Buyanza

June 25, 2024
Share :

Mwanamitindo na muigizaji maarufu nchini Wema Sepetu ametema nyongo kwa kusema hapendi kabisa tabia watu wanaopenda kumfananisha yeye mtu mwingine yeyote.

"Naomba nifikishie ujumbe, sitaki kushindanishwa na mtu kwa kitu chochote, sijawahi kushindana na mtu yeyote tangu nianze kupata umaarufu mwaka 2006, na sipendezwi kabisa kitendo cha kushindanishwa na Hamisa Mobetto kwani yule ni mdogo wangu halafu mtaleta chuki ambazo hazina maana," amesema Tanzania Sweetheart.

Hilo limejiri baada ya hivi karibuni mashabiki kuwashindanisha wadada hao kwa idadi ya followers wa Instagram.
NMG

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet