pmbet

Sir David Beckham kwenye mpango wa kuinunua Man United

Sisti Herman

November 4, 2026
Share :

 

Gwiji wa Manchester United na Uingereza David Beckham ametajwa kama mtu anayeweza kuongoza mchakato wa kuinunua klabu ya Manchester United.

Magwiji wenzake wa United wamejadili mpango huo, Paul Scholes anaamini kuwa gwiji huyo wa klabu anaweza kuwa sehemu ya suluhisho huko Old Trafford, lakini Nicky Butt anasema kuwa thamani ya pauni bilioni 8 iliyotajwa na familia ya Glazer inaweza kuwa kikwazo kikubwa.

Pia, Butt alihoji kama kweli Manchester United ina thamani hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa nafasi ya kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa inaonekana kuwa finyu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet