pmbet

"Sitamani kurudi City, nataka kubaki Barca" - Joao

Sisti Herman

March 12, 2024
Share :

Beki wa klabu ya Manchester City ya Uingereza aliyepo kwa mkopo klabu ya Barcelona ya Uhispania Joao Cancelo ameweka wazi nia yake ya kutaka kubaki Catalunya badala ya kurejea nchini Uingereza baada ya muda wake wa mkopo kutamatika.

 

Cancelo ambaye chanzo cha kutolewa kwa mkopo mara kwa mara licha kuwa kwenye kiwango bora ni kuwa na mgogoro na kocha wa Cuty Pep Guardiola ameweka wazi kuwa hatamani kurejea kuwa chini ya kocha huyo na badala yake anatamani kuendelea kucheza Barcelona kwa msimu mwingine tena.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet