pmbet

Sitapiga kura, mimi sio mfuasi wa Biden wala Trump – Cardi B

Eric Buyanza

May 17, 2024
Share :

Kutoka nchini Marekani, Rapa mtata Cardi B ameweka wazi msimamo wake kuwa hatapiga kura katika uchaguzi ujao wa urais nchini Marekani utakaofanyika November 5, 2024.

Kulingana na Cardi, yeye si mfuasi wa Joe Biden wala Donald Trump.

Anasema hapo awali alikuwa akimwona Trump kama "tishio kubwa," lakini chini ya uongozi wa Biden anaona kama wamarekani wamesalitiwa....”Ni kama tu, hamjali mtu yeyote..ninahisi kama watu wamesalitiwa na utawala wa Biden," Cardi B alisema.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet