pmbet

"Siwezi kusihi bila Biblia" - Davido

Eric Buyanza

January 8, 2024
Share :

Kutoka nchini Nigeria staa wa muziki wa Afrobeat David Adeleke (Davido), amesema katika maisha yake kitabu cha 'BIBLIA' ni mojawapo ya mambo muhimu ambayo hawezi kuishi bila kuwa nacho.
 

Katika mahojiano ya hivi majuzi na British GQ, mwanamuziki huyo pia alivitaja vitu vingine muhimu kwake kuwa ni Popcorn (Bisi), Wallet yake, Headphones, cheni, pete, saa, raba pamoja na miwani yake ya jua.
 

Mwanamuziki huyo anasema ana app ya Biblia kwenye tablet yake, ambayo ina nyimbo za tenzi na maombi.
 

Kuhusu sababu kwanini anapenda popcorn? Davido alisema anafurahia zaidi kuangalia sinema akiwa na popcorn.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet