Snoop akataa bilioni 250 kuonyesha utupu mtandaoni
Sisti Herman
January 22, 2024
Share :
Rapa kutoka nchini Marekani Snoop Dogg amedai kuwa alikataa ofa ya tsh 250 bilioni ambapo alitakiwa kuonesha sehemu zake za siri hadharani kwenye mtandao wa OnlyFans!.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 52 amesema, mke wake asingeruhusu yeye kuonesha sehemu zake za siri mtandaoni kwa kiasi chochote kile cha fedha.