pmbet

Snoop Dogg anunua hisa za umiliki Swansea

Sisti Herman

July 18, 2025
Share :

 

Rapa maarufu duniani, Snoop Dogg amenunua hisa za klabu ya Swansea inayoshiriki michuano ya Championship nchini Uingereza.

Hatu hiyo, inamfanya msanii huyo kuwa mmiliki mwenza wa klabu hiyo, akiwa pamoja na kiungo nyota wa zamani wa Real Madrid, ambaye hivi karibuni alihamia AC Milan ya nchini Italia.

Siku ya Jumatatu, msanii huyo kutoka Marekani alifanikisha uzinduzi wa jezi mpya za nyumbani za Swansea, huku pia akikiri mapenzi yake kwa klabu ya Celtic ya nchini Scotland.
Mwezi uliopita, rapa huyo alisema kuwa angetamani kufungua mgawaha wa ‘burger’ katika eneo la Celtic.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet