Sowah, Kante kuendelea kukaa jukwaani leo wakitumikia adhabu
Sisti Herman
February 11, 2026
Share :

Mchezo wa leo dhidi ya KMC utakuwa wa 3 kwa wachezaji wa Simba SC, Jonathan Sowah na Alassane Kante kuendelea kuwa kupitia adhabu ya kuwa nje mechi 5 mfululizo wanazotumikia kwenye michuano ya ndani.
Hizi ni mechi walizozikosa hadi sasa;
1. Mtibwa Sugar
2. Mashujaa FC
Hizi ni mechi watakazokosa;
1. KMC FC
2. Greenland FC
3. Tanzania Prisons





