pmbet

Spain yatangaza kuwa itaitambua Palestina kama taifa huru

Eric Buyanza

April 3, 2024
Share :

Hayo yameelezwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Pedro Sanchez kabla ya kuanza hapo jana ziara yake Mashariki ya Kati ambako atayatembelea mataifa ya Jordan, Qatar na Saudi Arabia.
 

Kauli hiyo isiyo rasmi ya Sanchez ilinukuliwa na vyombo vya habari vya Uhispania ikiwa ni pamoja na shirika la habari la serikali (EFE).

Tangu mwaka 1988, jumla ya nchi 139 kati ya 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa tayari zimeitambua Palestina kama taifa huru.
DW

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet