Spurs yamvuta Radu
Sisti Herman
January 12, 2024
Share :
Klabu ya Tottenham Hotspurs imethibitisha kukamilisha usajili wa beki Radu Dragusin kutoka Genoa kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 30.
Dragusin (21) raia wa Romania amesaini mkataba wa kuitumikia miamba hiyo ya London mpaka 2030.