Staa wa Nollywood awashangaza wengi kwa muonekano mpya
Eric Buyanza
December 21, 2023
Share :
Muigizaji kutoka Nigeria Jerry Amilo amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hapo jana baada ya kujitokeza akiwa na muonekano mpya.
Staa huyo kutoka kiwanda cha movie za kinaija (Nollywood) ambaye amekuwa akiwafurahisha wengi hususan anapoigiza kama tajiri, amewashtua wengi huku akiwaacha na maswali yasiyokuwa na majibu kuwa amejichubua au ni kitu gani???
Ukiachilia mbali uigizaji Jerry pia ni Producer na Director huko Nollywood.