pmbet

Star Boy wa Simba apewa 'Thank You' Msimbazi.

Joyce Shedrack

July 27, 2026
Share :

Klabu ya Simba imevunja mkataba na kiungo mshambuliaji wa Kenya Mohamed Bajaber kwa mkubaliano ya pande zote mbili baada ya kujiunga na Simba msimu uliopita akitokea klabu ya Polisi Kenya.

Star Boy' Bajaber opens up on pain of leaving Stars, life at Simba | Daily  Nation

 

Simba pia imetangaza kumtoa kwa mkopo nyota wao Mtanzania Salehe Karabaka kwenda klabu ya Pamba Jiji.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet