Stars wakwea pipa kushiriki FIFA Series
Sisti Herman
March 18, 2024
Share :
Wachezaji wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” wakiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa safari ya kuelekea Azerbaijan kwa michezo miwili ya FIFA Series 2024.
Kwenye michezo hiiyo Stars itawakilisha Afrika kucheza na timu za Taifa kutoka mabara mawili tofauti, yaani Bulgari kutoka bara la Ulaya na Mongolia kutoka bara la Asia kama ilivyopangwa na shirikisho la soka duniani FIFA.