pmbet

Stars yachapwa FIFA Series 2024

Sisti Herman

March 22, 2024
Share :

Timu ya Taifa Tanzania "Taifa Stars" imeanza kwa kupoteza 1-0 dhidi ya Bulgaria kwenye michezo ya kirafiki inayoandaliwa na shirikisho la soka duniani FIFA yaani FIFA Series 2024 mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita nchini Azerbaijan.

Kwenye michezo hiyo inayoandaliwa na FIFA kwakukutanisha timu kutoka mabara tofauti, Stars ikiwa moja ya timu kutoka Afrika na pekee kutoka Afrika mashariki imepangwa kucheza dhidi ya Bulgaria kutoka Ulaya (Uefa) na Mongolia kutoka Asia (AFC)

Stars mchezo ujao itacheza na timu ya Taifa ya Mongolia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet