pmbet

Stars yavuna Bilioni 1.9 baada ya kufuzu hatua ya 16 bora AFCON.

Joyce Shedrack

December 31, 2025
Share :

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kuvuna dola 800,000 sawa na Bilioni 1.9 za Kitanzania baada ya kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025.

Wachezaji wa Stars pia wamepokea milioni 300 kama zawadi ya kila goli, mechi dhidi ya Uganda goli milioni 100 na mechi ya Tunisia milioni 200.

Fedha zinazotolewa na Shirikisho la soka Afrika CAF kwenye michuano ya AFCON 2025.
- Bingwa; Dollars milioni 10
- Mshindi wa pili; Dollars milioni 4
- Nusu Fainali; Dollars milioni 2.5
- Robo fainali; Dollars milioni 1.3
- 16 bora; Dollars laki 8
- Nafasi ya tatu Kundi; Dollars laki 7
- Nafasi ya nne Kundi; Dollars laki 5.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet