pmbet

Stesheni ya SGR Dodoma yawa Gumzo mitrandaoni

Sisti Herman

April 26, 2024
Share :

Moja ya kati ya video zinazosambaa na kuibua mijadala kwenye mtandao wa TikTok inahusiosha Station (Kituo) ya Treni ya Umeme Dodoma (SGR) cha kisasa.

Watu wengi kwenye mtandao wa TikTok wamevutiwa na muonekano wa kituo hicho hasa mataifa ya jirani wengi wao wakiwa hawaamini kama ni kweli kipo Tanzania.

Tanzania Tayari imezindua Safari za Treni ya Umeme ambayo itakuwa ikitoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma ma Dodoma kurudi Dar Es Salaam kwa muda wa masaa matatu tu.

Juu ni picha ya kituo hicho, JE umevutiwa nacho?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet