Steve Holland, kutoka kuwa msaidizi wa Ancelotti hadi kuwa msaidizi wa Carrick
Sisti Herman
February 11, 2026
Share :

Steve Holland alizaliwa kuwa msaidizi na amekuwa msaidizi mwenye bahati sana na wenye mafanikio.
Holland alikuwa msaidizi wa Ancelotti walishinda Premier League 2010.
Holland alikuwa msaidizi wa Di Matteo walishinda Ligi ya Mabingwa 2012 Chelsea.
Holland alikuwa msaidizi wa Mourinho walishinda Ligi Kuu ya England 2015 Chelsea.
Holland alikuwa msaidizi wa Conte walishinda Ligi Kuu ya England 2017 Chelsea.
Holland alikuwa msaidizi wa Southgate waliongoza England kufika fainali mbili za Euro.





