pmbet

Steven Gerrard alinizuia kuondoka Liverpool - Mo Salah

Eric Buyanza

May 2, 2026
Share :

Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, amefichua kuwa mazungumzo na gwiji wa klabu hiyo, Steven Gerrard, yalimfanya abadili mawazo yake kuhusu kuondoka mwezi Januari.
 

Salah alikuwa tayari kuachana na Liverpool baada ya kutofautiana na kocha Arne Slot.

Katika mahojiano ambayo Salah alifanyiwa na Gerrard, Salah alisema:

 

"Watu hawakujua ulikuja nyumbani kwangu na tukafanya mazungumzo mazuri sana.

"Ulinipa maoni yako na ninashukuru.

"Nina furaha sasa kwakuwa naondoka kupitia mlango mkubwa.

"Kila kinachoendelea msimu huu kinanifanya nifikirie,

"Hapana ni wakati wa kwenda".
 

Salah ametangaza kuondoka kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet