pmbet

Stumai Abdallah atunukiwa tuzo ya mchezaji bora mwanamke wa wa mwaka 2025

Sisti Herman

May 9, 2026
Share :

 

Stumai Abdallah ametangazwa mshindi wa Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kike wa Mwaka katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) 2025.

Tuzo hiyo imekabidhiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba katika hafla inayofanyika ukumbi wa The Super Dome.

Stumai, ambaye ni mchezaji wa JKT Queens pamoja na Timu ya Taifa ya Wanawake, ametajwa kung’ara kutokana na mchango wake katika soka la wanawake nchini.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet