pmbet

Sugu aukwaa Uenyekiti Kanda ya Nyasa, amgaragaza Msigwa

Eric Buyanza

May 30, 2024
Share :

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa katika uchaguzi uliofanyika jana Mei 29, 2024.

Sugu aliyekuwa akipambana na Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, alipata ushindi wa asilimia 51, huku Msigwa akipata asilimia 49 ya kura zote. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet