Sunil astaafu rasmi timu ya Taifa India
Sisti Herman
May 16, 2024
Share :
Baada ya kuitumikia kwa miaka 19 hatimaye Mfungaji bora wa muda wote wa timu ya Taifa ya India Sunil Chhetri amestaafu rasmi kuendelea kuitumikia timu hiyo na kuacha alama kubwa ambayo ni ngumu kufutika.
Sunil amestaagu akiwa na umri wa miaka 39.
Akiwa na India Sunil Chhetri amecheza michezo 150 na kufunga mabao 94 huku akiingia kwenye vitrabu vya Kihistoria baada ya kuwa mfungaji bora wa 4 kwa timu za Taifa baada ya Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Ali Diei.