Swaga za Nigeria kuingia Afcon
Sisti Herman
January 11, 2024
Share :
Timu ya Taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles walivalia vazi la kiutamaduni wa nchi hiyo wakiwa kwenye safari ya kwenda Ivory Coast kwa ajili ya AFCON 2023.
Nigeria iliyo chini Kocha Mkuu Jose Poseiro raia wa Ureno wanaelekea kwenye michuano wakiwa kundi A na mwenyeji Ivory Coast, Equatorial Guinea pamoja na Guinea Bissau. Mechi ya kwanza Nigeria watacheza dhidi ya Equatorial Guinea Janauri 14 katika uwanja wa Olympique.