pmbet

Taasisi ya Mbappé yafanya Ukarabati wa Shule Cameroon

Sisti Herman

March 9, 2026
Share :

 

Kylian Mbappé kupitia taasisi yake ya Kylian Mbappé Foundation amesaidia kukarabati shule ya umma huko Bonendale, Bonaberi, Douala, kijiji cha baba yake nchini Cameroon.

Fowadi huyo wa Ufaransa anatoa ishara ya nguvu, kuwekeza katika elimu na kurejesha jamii ya asili yake. 

Ni ukumbusho wa kipekee lakini wa maana wa mahali mtu anapotoka, huku akifungua upeo mpya kwa kizazi kijacho.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet